Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Kiwanda cha Kuchambua Pamba Wilayani Tanganyika.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo Kifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi wakati alipowasili kiwandani hapo kuzindua hiwanda hicho, Agosti 26, 2021. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Emmanuel Njalu na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua, Mrindoko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua kiwanda cha kuchambua pamba cha NGSInvestment Company Limited kilichopo Kifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, Agosti 26, 2021. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Emmanuel Njalu, wa tatu kulia ni Mbunge wa Mpanda V ijijini, Suleiman Kakoso na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavu, Beda Katani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uchambuaji wa pamba kutoka kwa Emmanuel Njalu (wa pili kushoto) ambaye ni  Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo Ifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi baada ya kuzindua kiwanda hicho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uchambuaji wa pamba kutoka kwa Emmanuel Njalu (wa pili kushoto) ambaye ni  Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo Ifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi baada ya kuzindua kiwanda hicho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua pamba ambayo imechambuliwa na kufungwa  tayari kwa kuuzwa wakati alipozindua kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo ifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi  Agosti 26, 2021. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Emmanuel Njalu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa kiwanda cha kuchambua pamba cha NGS Investment Company Limited kilichopo Kifukutwa wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi wakati alipowasili kiwandani hapo kuzindua hiwanda hicho, Agosti 26, 2021. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Emmanuel Njalu na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua, Mrindoko.

 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.