MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa
Mmaka Omar (katikati), akimkabidhi Afisa Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad
Iddi (wapili kutoka kulia), kitanda cha kubebea wagonjwa wanaofika katika
hospitali ya Chake Chake, hafla iliyofanyika ndani ya Hospitali hiyo.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa
Mmaka Omar(kushoto) akimkabidhi mipira ya kuzalishia mama wajawazito Afisa
Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad Iddi, kwa ajili ya kituo cha afya Wesha
Wilaya ya Chake Chake.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa
Mmaka Omar(kushoto) akimkabidhi vitakasa mikono Afisa Uwendeshaji Tiba Pemba
Dk.Yussuf Hamad Iddi, kwa ajili ya kituo cha afya Wesha Wilaya ya Chake Chake.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Kusini Pemba Zulfa
Mmaka Omar(wa pili kushoto) akimkabidhi vifaa vya wagonjwa wa Viungo Afisa
Uwendeshaji Tiba Pemba Dk.Yussuf Hamad Iddi (wa kwanza kulia), kwa ajili ya
Hospitali ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba.
No comments:
Post a Comment