Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Mabalozi walioteuliwa karibuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani, wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakati walipofika kuonana na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo   walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20/09/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo  walipofika  Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/09/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na baadhi ya  Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/09/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo   walipofika   Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/09/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.