RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli, alipofika
nyumbani kwa marehemu kusalimia familia ya marehemu Chato na (kushoto) Mjane wa
Marehemu Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa salamu za heshima baada ya kuweka
shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Marehemu John Pombe Magufuli alipofika nyumbani kwa marehemu Chato
kusalimia familia ya marehemu na (kushoto) Mjane wa Marehemu Mama Janeth
Magufuli na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjane wa Marehemu Mama
Janeth Magufuli (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,
baada ya kumaliza kuweka maua katika kaburi la Marehemu John Pombe Magufuli
nyumbani kwa marehemu Chato Mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment