Habari za Punde

Gari la Mbunge wa Jimbo la Mtoni Zanzibar Mhe.Abdulghafar Idrissa Limepata Ajari Maeneo ya Kongwa.

 


Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado Milki ya *MHE. Abdulghafar Idrissa Juma* Mbunge wa jimbo la Mtoni Zanzibar, iliyopata ajali ya kuungua moto maeneo ya Wilaya ya Kongwa National Ranch, Gari hiyo ilikuwa likitokea Dar kuja Dodoma majira ya saa (8:30) Nane na nusu Usiku wa kuamkia leo 9/11/2021, katika ajali hiyo alikuwemo Dereva tu na amenusurika na ajali hiyo.
Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni tatizo la hitilafu ya Umeme.

POLE SANA MHE. ABDULHAFAR TUNAMUOMBA MUNGU AKUPE SUBRA KATIKA KIPINDI HICHI KIGUMU🤲

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.