Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameshiriki Mkutano Maalum wa Kumpongeza Rais Samai Viwanja vya Maisara Suleiman leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja hivyo lililofanyika leo.20-11-2021 Zanzibar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa UWT  alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kupongeza,uliofanyika katika viwanja hivyo lililofanyika leo.20-11-2021 Zanzibar
WANANCHI wa Zanzibar na Mikoa mengine wakishangilia wakati wa Mkutano ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
VIONGOZI Wastafu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na UWT katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar KhalfanI wakifuatilia mkutano wa kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja 
WANACHAMA wa (UWT) wakishangilia wakati wa hafla ya Mkutano Maalum wa kumpogeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) mkutano uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-11-2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WAKE Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
WAKE Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-11-2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 20-11-2021

VIONGOZI Wastaafu wa UWT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo

VIONGOZI wa Jumuiya za Chama cha Mapinduzi wakiwemo Wabunge na Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja,wakati wa hafla ya mkutano wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania uliofanyika leo 20-11-2021, katika viwanja vya Maisara Suleiman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa kumpongeza uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa mkutano maalum ulioandaliwa na (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaaf.Mhe Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe.Zuberi Ali Maulid.

(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.