Habari za Punde

Semina ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kuhusiana na Uchumi wa Buluu.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (katikati) alipokuwa akizungumza na kusisitiza jambo na kuhusu uchangiaji wa sera ya Uchumi wa Buluu katika Semina ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed alipokuwa akifungua semina ya siku moja kwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kupitia Sera ya uchumi wa Buluu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipokea mada mbali mbali zilizotolewa  katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.
Kwa niaba ya Mwakilishi wa Shikrika la Maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNDP Nd,Abbas Kitogo alipokuwa akizungumza katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipokea mada mbali mbali zilizotolewa  katika Semina ya siku moja katika mapitio ya Sera ya Uchumi wa Buluu na mpango kazi wa utekelezaji wake,iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Sea Cliff Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.