Habari za Punde

Ufunguzi wa Kongamano la Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

WAWEKEZAJI kutoka Nchini China wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la  Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara (iliyokuwa Tanganyika) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na baadhi ya Mawaziri wa SMZ na SMT,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaji Zanzibar, kuhudhuria Kongamano la Kiuchumi la Wawekezaji, kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika).(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Kongamano la Kiuchumi la Wawekezaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akilifungua Kongamano hilo la kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaji Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Uwekazeji Kiuchumi Tanzania ikiwa ni kuelekea katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, kuwashirikisha Wawekezaji kutoka Nje ya Nchi na Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Pongezi cha Ushindi wa Mlipa Kodi Bora kilichotolewa na TRA Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB,Bi.Ruth Zaipuna,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Pongezi kwa kuajiri Wafanyakazi wengi Kagera Sugar Company Mkurugenzi Mtendaji.S.A.Seif,wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wawekezaji Kiuchumi kuadhimisha Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.(iliyokuwa Tanganyika) lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.