Habari za Punde

Ufunguzi wa Mafunzo ya Upatikanaji wa Haki Kwa Watu Wasiokuwa na Uwezo na Wenye Mahitaji Maalum.

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akifungua mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu katika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini Chake Chake.

MAHAKIMU na Majaji Kisiwani Pemba, wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumukatika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini chake chake.

MKURUGENZI wa Idara ya Utawala Bora na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya katiba na Msaada wa kisheria Zanzibar Zaina Daud Khalid, akitoa malengo ya mafunzo kwa Mahakimu juu ya Upatikanaji wa Haki kwa watu wasiokuwa na Uwezo na wenye mahitaji maalumu katika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini chake chake.
AFISA Miradi wa taasisi ya LSF Zanzibar Maryam Mansab, akitoa salamu za taasisi ya LSF kwa Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu katika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini chake chake
AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Katiba, sheria, Utumishi na Utawala bora Pemba Halima Khamis Ali, akizunguza na kumkabirisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, katika mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu katika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini Chake Chake

MAHAKIMU na Majaji Kisiwani Pemba, wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumukatika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini chake chake.

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na mahakimu na majaji walioshiriki mafunzo ya Mahakimu juu ya upatikanaji wa haki kwa watu wasiokuwa na uwezo na wenye mahitaji maalumu katika mahakama, mafunzo hayo yametolewa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar kwa ufadhili kutoka Taasisi ya LSF na kufanyika mjini Chake Chake.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.