WAKULIMA wa Mwani katika kijiji cha Makangale Wilaya
ya Micheweni Kisiwani Pemba, sasa wamebuni mbinu mpya ya uwanikaji wa Zao hilo
juu ya kamba, ili kuunusuru mwani huo kuingia michanga, vumbi na takataka pale
wanapoanika chini, pichani mmoja ya wananchi wa kijiji hicho akianika mwani huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BIDHAA ya Mwani ikiwa umeanikwa juu ya kamba kwa
lengo la kunusuru kuingia uchafu, pale wanapouwanika chini ikizingatiwa mwani
ni chakula kama ilivyo vyakula vyengine.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment