Habari za Punde

Ziara ya uhamasishaji ukataji wa leseni za Mahoteli ya Utalii Pemba


WATENDAJI kutoka kamisheni ya Utalii Pemba (kulia) wakizungumza na Mkuu wa Huduma kutoka Hoteli ya The Manta Resot Shaaban Abdalla (kushoto), wakati wa ziara ya uhamasishaji ukataji wa leseni za Mahoteli ya kitalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.