Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassanakizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu rasilimali bahari Duniani.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
0 Comments