Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Mabalozi wa OACPS Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa  Mabalozi wa nchi Wanachama wa  Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi Wanachama wa  Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni  katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) mara baada ya kuhutubia leo tarehe 15 Februari, 2022. PICHA NA IKULU
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.