Habari za Punde

Kamati za Baraza la Wawakilishi ziarani kukagua miradi

Wajumbe wa Kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za Serikali PAC wakiwa katika majukumu yake ya kufuatilia majibu ya hoja yaliyotolewa na Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na mifugo kuhusu ukaguzi maalum katika wizara hiyo ulionesha kasoro katika ukodishwaji wa mashamba ya Mikarafuu katika kipindi cha mwaka 2017 hadi 2020.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Abdul Gulam Hussein akitoa taarifa ya akitoa taarifa kwa Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa jamii ya Baraza la Wawakilishi kuhusu utekelezaji wa Miradi ya kuimarisha Elimu kupitia Fedha za Uviko 19 wakati kamati hiyo ilipokua ikitembelea na kukagua maendeleo ya miradi hiyo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.