Habari za Punde

KIST Yashirikiana na Chuo cha AP Kujifunza Kutengeneza Kifaa cha Kupimia Kiwango cha Chumvi.

Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) pamoja na Wanafunzi kutoka Chuo Cha AP Belgium wakiwa katika Mafunzo ya kutengeneza Kifaa cha Kupima kiwango cha Chumvi Chumvi (SALINITY SENSOR) yaliyofanyika katika (Lab ya Microcontroller) Chuoni hapo Mbweni Mjini Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO - KIST.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.