Habari za Punde

Wanafunzi wa KIST Wakiwa katika Mafunzo ya Vitendo.

Wanafunzi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) wanaosoma Fani ya Ujenzi na Usafirishaji, Wakiendelea kujifunza kwa Vitendo Ufundi wa Mfumo wa Maji , katika Taasisi hiyo Mbweni mjini Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO - KIST.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.