Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango Awasili Nchini Uswisi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 21 Mei akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich uliopo Kloten nchini Uswisi,kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uswisi mwenye makazi yake Berlin nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi. Makamu wa Rais anashiriki Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos nchini Uswisi.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.