Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo Amefungua Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Dodoma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndugu Gaudentia Kabaka wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la UWT leo tarehe 15 Juni, 2022, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania leo katika Ukumbi wa White House, CCM Makao Makuu Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake TanzaniaNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.