Habari za Punde

Matukio ya Mitaani Ajali ya Gari Makutano ya Barabara ya Madema na Gymkhana Unguja.

Ajali ya Gari iliyohusisha Vespa na Gari Ndogo ya IST katika makutano ya barabara ya madema na Gmykhana katika ajali hiyo mpanda vespoa amapata majerubi na kuwahishwa Hospitali Kuu hya Mzani mmoja ya huduma ya kwanza n a hakuna Mtu aliyefariki katika ajali hiyo.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.