Habari za Punde

Tulikotoka katika Usafari wa Gari za Taxi Zanzibar.

Usafiri wa Gari za Abiria maarufu kwa Taxi katika Visiwa vya Zanzibar miaka hiyo gari hizi zilikuwa zikitoa huduma ya usafiri kwa Wananchi na Wageni wanapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. Kwa sasa Gari hizi zimekuwa adimu kuonekana ni moja ya Historia ya Zanzibar gari hizi zimekuwa zikitimoka dahi katika miaka ya 90  zilikuwa zikitowa huduma ya Taxi Unguja na Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.