Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la M,apinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameaza Ziara Katika Mkoa wa Kusini Unguja 22-7-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Maendeleo za Mkoa wa Kusini Unguja,kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa huo, taarifa hiyo iliowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa Tunguu Wilaya ya Kusini Unguja leo22-7-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohamed 
MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid akisoma Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wake, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Wilaya ya Kusini Unguja leo 22-7-2022
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa Kazi za Maendeleo za Mkoa ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa Tunguu leo 22-7-2022,kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja leo 22-7-2022
BAADHI ya Watendeji wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadih Rashid , katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 22-7-2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.