Habari za Punde

Rais Mhe. Samia akutana na Kuzungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR) Filippo Grandi pamoja na ujumbe alioambatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2022.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.