Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Aendelea na Ziara yake Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Tangi la Maji na miradi mingine inayojengwa Pemba, akiwa katika mmoja wa mradi huo.  
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban alipotembelea Kituo cha Ununuzi wa Karafuu Pemba wakati wa ziara yake katika Mikoa miwili ya Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.