Habari za Punde

Matukio ya Picha Kikao cha Baraza la Wawakilishi leo Chukwani Unguja Jijini Zanzibar

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma akiingia katika ukumbi wa Mkutano wa Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa kuaza kwa kikao hicho kinachofanyika leo 7-9-2022.
Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika ukumbi wakati Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma akiingia katika ukumbi  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed akijibu maswali ya Wajumbe wa Wawakilishi wakati wa kipindi cha maswali na majibu yaliyowasilishwa leo na Wajumbe.
Mwakilishi wa Jimbo la Mwera Zanzibar Mhe.Mihayi Juma Suleiman akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi kilichoaza leo 7-9-2022 katika ukumbi wa mikutano jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.