Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ahudhuria Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Chamwino Dodoma

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala Mabodi, alipowasili Chamwino kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyila leo 26-9-2022, katika ukumbi wa Chamwino  Dodoma
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo. na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa Chamwino Dodoma kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo leo 26-9-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa Chamwino Dodoma leo 26-9-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa katika ukumbi wa mkutano Chamwino Dodoma leo 26-9-2022, wakati wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao  Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,  kilichofanyika katika ukumbi wa Chamwino  Dodoma leo 26-9-2022.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakisoma makabrasha ya  ajenda ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa, kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Chamwino Dodoma leo 26-9-2022.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan alipowasili katika ukumbi wa Chamwino Dodoma kwa ajili ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 26-9-2022, na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
WAJUMBE wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika ukumbi wa Chamwino Dodoma wa kwanza kulia Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa amae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 26-9-2022 katika ukumbi wa Chamwino Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 26-9-2022 katika ukumbi wa Chamwino Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 26-9-2022 katika ukumbi wa Chamwino Dodoma
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.