Habari za Punde

Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Shariff Ali Shariff Akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Micheweni,Masheha na Wawakilishi wa Jamii Maeneo ya Maziwa Ngombe na Kiuyu

Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg Shariff Ali Shariff  akiwa na Mkuu wa  Wilaya ya Micheweni Pemba Bi.Mgeni Khatib Yahya wakiwa na Masheha na Wawakilishi wa Jamii wa Maziwa Ngombe na Kiuyu wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA, akitowa maelezo ya michoro ya Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya barabara za Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni wakati wa ukaguzi wa eneo hilo linaloaza zoezi la ujenzi wa barabara hiyo.  
Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Bw. Shariff Ali Shariff akizungumza na kutowa maenele ya Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya ujenzi wa barabara katika eneo la uwekezaji la Micheweni Pemba kuimarishi eneo hilo la Uwekezaji la Maziwan Ngombe na Kiuyu Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa ukaguzi wa eneo hilo ukiwashirikisha Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Masheha na Wawakilishi wa Jamii wa maeneo hayo. 
Tukiwa na Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Masheha, Wawakilishi wa Jamii ya Maziwa Ngombe na Kiuyu, katika ukaguzi wa utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara za Maeneo Huru ya Uchumi ya Micheweni… Ujenzi huo unafanywa na Wakala wa Barabara UUB ambao unatarajiwa kukamilika na kukabidhiwa ZIPA mwezi wa Disemba 2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.