Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aweka Shada la Maua katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuweka shada la Maua katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora Machel

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili za Msumbiji wakati akitoka kuweka shada la maua kwenye eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi hiyo (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo

Viongozi mbalimbali kutoka Tanzania wakiwa katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili za Msumbiji wakati akitoka kuweka shada la maua kwenye eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi hiyo (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili za Msumbiji wakati akitoka kuweka shada la maua kwenye eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi hiyo (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Mji wa Maputo mara baada ya kutembelea Kituo cha uzalishaji wa Nishati ya Umeme nchini Msumbiji tarehe 21 Septemba, 2022.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.