Habari za Punde

Ujumbe wa Tanzania Watembelea Uwanja wa Mpira wa Kimataifa wa Khalia Qatar

Ujumbe wa Serikali ya Tanzania unaoongozwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu kwa kushirikiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab umetembelea Uwanja wa Kimataifa wa Khalifa ulipo Jijini Doha, Qatar. Uwanja huo pia unajulikana kama Uwanja wa Taifa, ni moja kati ya uwanja utakaotumika kwenye mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba 2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.