Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya kupikia “Tanzania Clean Cooking Conference” katika Ukumbi wa JNICC Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wadau mbalimbali kwenye mabanda ya maonesho kuhusu matumizi ya Nishati safi ya kupikia kabla ya kufungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.