Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Atembelea Kiwanda cha Nondo Lodhia Group Kilichopo Mkuranga

 

Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Lodhia Group, Arun Lodhia  wakati alipowasili kwenye kiwanda cha nondo na mabomba cha kampuni hiyo  kilichopo Mkuranga akiwa katika ziara ya Mkoa wa Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha mabati cha Makampuni ya Lodhia Group  kilichopo Mkuranga akiwa katika ziara ya Mkoa wa Pwani Novemba 28, 2022. Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Makapuni hayo Arun Lodhia, kushoo ni  Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar KunengeNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.