Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jackets, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation "ZMBF" (katikati) akipokea hundi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.[Picha na Ikulu] 14/12/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akitiliana saini na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket imefanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akibadilishana hati na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini, katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jackets iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
TET NA TANZANIA AI COMMUNITY KUSHIRIKIANA KUBORESHA UFUNDISHAJI KWA
TEKNOLOJIA YA AI
-
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imepanga kufanya mafunzo ya kukuza uwezo
kwa wakuza mitaala na walimu nchini kwa kutumia Akili Mnemba (AI) ili
kukuza ufani...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment