Aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akimkabidhi Vitendea Kazi na Ofisi Katibu Mpya wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Edward Mjema, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makau ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lumumba Jijini Dar es Salaam Jana Tarehe 21 Januari, 2023.(Picha zote na Fahadi Siraji wa CCM)
Aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza baada ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Edward Mjema, , hafla hiyo ya makabidhiano iliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam
DK.SAMIA:WANANCHI WALIOPISHA UPANUZI UWANJA WA NDEGE KIGOMA WATALIPWA FIDIA
ZAO
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Uchaguzi Mkuu mwaka
huu Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema fidia ...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment