Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa
Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika
katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria
Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika
katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akisikiliza kwa makini kutoka kwa mmoja wa Washiriki wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt.
Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi
Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress,
Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment