Habari za Punde

SEKRETARIET YA CCM TAIFA YAPOKEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Annamringi Macha akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) Ndugu Mohamed Said Mohamed (Dimwa) akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema  akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.
Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni Ndugu Issa haji Ussi (Gavu) akizungumza wakati wa hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni Ndugu Issa haji Ussi (Gavu) akizungumza wakati wa hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dodoma Alhaji Kimbisa  akizungumza kwenye hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.

Makatibu Wakuu wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi Wakiteta jambo wakati wa  hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma. 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Wazee wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kusimikwa wakati  hafla fupi ya mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM yaliyofanyika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.