Habari za Punde

Mradi wa Kijana Nahodha Fursa kwa Vijana Kujikomboa Kiuchumi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango kuashoroa kuzindua Mradi wa Kijana Nahodha inaofadhiliwa na USAID ya Marekani, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya mpira Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana 22-2-2023.  

 

1 comment:

  1. Nimtuma maombi ya kijana nahodha lakini sijapata majibu Hadi leo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.