Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh. Abubakary Said Abubakary alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-2-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-2-2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-2-02023 katika Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mara baada ya Swala ya Ijumaa ilioswaliwa leo katika Masjid Shifaa(msikiti maiti) iliyopo Mtaa wa Mwembetanga Wilaya ya Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja leo 3-2-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh. Abubakary Said Abubakary baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 3-2-2023 katika Masjid Shifaa (Msikiti Maiti).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Shifaa (Msikiti Maiti) Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh.
No comments:
Post a Comment