Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Tabora leo tarehe 06 Juni 2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora
kwaajili ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika
katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA JAPAN, IFAD.
-
Na. Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya
mazungumzo kwa nyakati tofauti...
58 minutes ago



0 Comments