Habari za Punde

Timu ya Taifa ya wanawake Zanzibar chini ya miaka 18 kushiriki Mashindano ya CECAFA Dar


 Kikosi cha Timu ya Taifa ya wanawake Zanzibar chini ya umri wa miaka 18 wakiwa katika mazoezi hapo Dar es Salaam ambapo wataanza na mchezo wao wa kwanza wa CECAFA ya wanawake siku ya Alkhamis Julai 27 2023 saa 12.00 jioni dhidi ya Uganda 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.