Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wilson Centre na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Mhe. Mark Green pamoja na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya picha waliyopigwa January 13, 2009 (miaka 12) iliyopita Rais na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wilson Centre na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Mhe. Mark Green ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwa balozi ni Mama Suzan Green, mke wa balozi Green
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya picha (waliyopigwa January 13, 2009 miaka 12 iliyopita) Rais na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wilson Centre na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Mhe. Mark Green ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwa balozi ni Mama Suzan Green, mke wa balozi Green.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wilson Centre na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Mhe. Mark Green aliemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo
Mama Salma Kikwete, Mke waRais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation Bi. Vanessa Anyoti, wakiwa na mama Suzan Green, mke wa Rais na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wilson Centre na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Mhe. Mark Green baada ya kutembelea hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment