Habari za Punde

Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa AFCON 2027


 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika Dkt. Patrice Motsepe amezitangaza nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuwa wenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027, kupitia Muungano wao wa EA PAMOJA BID


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.