Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira
Gandhi, New Delhi nchini India kwa ajili
ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New
Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza
rasmi ziara ya Kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma cha asili ya
India kikitumbuiza mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi, New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara
ya Kitaifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Watanzania mara baada ya
kuwasili New Delhi nchini India kwa ajili ya kuanza rasmi ziara ya Kitaifa.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment