Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Ahutubia Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akituhubia Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani lililofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), Rome Italia Oktoba 16, 2023. Waziri Mkuu amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu baada ya kuhutubia Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani lililofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), Rome Italia Oktoba 16, 2023. Waziri Mkuu amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.