Habari za Punde

NIC Insurance Yamkabidhi Zawadi Mchezaji Bora Kutoka Timu ya KVZ Yussuf Othman Katika Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Zanzibar

Afisa wa Bima NIC Insurance Bi.Zakia Mbonja akimkabidhi zawadi fedha taslim shilindi Laki Tano  mchezaji wa Timu ya KVZ Yussuf Othman baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024,  mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, dhidi ya Timu ya Yanga katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.