Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ashiriki Maziko ya Edward Lowassa Monduli Arusha

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha tarehe 17 Februari 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan ameongoza waombelezaji katika maziko hayo.

Viongozi mbalimbali wa Serikali, Wastaafu, Dini, Kimila, Vyama vya siasa, Vyombo vya ulinzi na usalama wameshiriki maziko hayo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha tarehe 17 Februari 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan ameongoza waombelezaji katika maziko hayo.


Viongozi mbalimbali wa Serikali, Wastaafu, Dini, Kimila, Vyama vya siasa, Vyombo vya ulinzi na usalama wameshiriki maziko hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.