RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi
Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla
hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-2-2024, na
(kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi
Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo baada ya kumuapisha
Waziri wa Uchumu wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman kuwa Mjumbe
wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-2-2024, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza
la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
No comments:
Post a Comment