Habari za Punde

Hotuba ya mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2024/2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nkenge (katikati) na Mbunge wa Kyera Innocent Bilakwate (kushoto) Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum Oliver Semuguruka (kushoto) Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Memejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu akisoma hotuba ya mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2024/2025, Bungeni jijini Dodoma
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.