MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Dkt.Mohammed Said Dimwa na Viongozi wa CCM, alipowasiliu katika viwanja vya
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya Iftar maalum aliyowaandalia
Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar, iliyofanyika jana 5-4-2024
katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende kufungulia saumu Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftar Maalum iliyoandaliwa
na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,kwa Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar,
iliyofanyika jana 5-4-2024, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya
ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na kuwasalimia Viongozi wa CCM na
Wafanyakazi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar maalum aliyowaandalia katika
ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
iliyofanyika jana 5-4-2024

Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa
CCM Zanzibar, katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu
wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar
maalum iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar jana 5-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM na Wafanyakazi wa
CCM Zanzibar, katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftar
maalum iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar jana 5-4-2024.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa hafla ya
Iftar Maalum iliyoandaliwa kwa Viongozib wa CCM na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar,
iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar jana 5-4-2024.
No comments:
Post a Comment