Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Atoa Taarifa Kuhusu Kimbunga Hidaya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu  Kimbunga Hidaya kilichotokea pwani ya bahari ya Hindi, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius  Ndejembi (kushoto), Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa tatu kushoto), Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (wa nne kushoto) , Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa pili kulia) na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.