Habari za Punde

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Awasilisha Hutuba ya Bajeti ya Afisi yake Kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais -Ikulu Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Ameir akiwasilisha hutuba ya Makadirio na Mapato ya Mtumizi ya Wizara ya Nchi  Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025,kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,wakati wa Kikao cha Bajeti kinachofanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar leo 17-5-2024.
Wazazibar wanaoishi ughaibuni Diaspora wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Ikulu wakati ikiwasilishwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani  leo 17-5-2024 na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhe.Ali Suleiman Ameir .
Wazazibar wanaoishi ughaibuni Diaspora wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizikwa kwa kuwasilishwa Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Afisi ya Rais -Ikulu Zanzibar, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 17-5-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.