Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mgombea Urais wa Msumbiji wa Chama cha FRELIMO Ikulu Chamwino Dodom

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.